Psalms 89:11-13


11 aMbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako,
uliuwekea ulimwengu msingi
pamoja na vyote vilivyomo.

12 bUliumba kaskazini na kusini;
Tabori na Hermoni wanaliimbia jina lako kwa furaha.

13 cMkono wako umejaa uwezo;
mkono wako una nguvu,
mkono wako wa kuume umetukuzwa.

Copyright information for SwhKC